Akija mzungu hapo kupiga utafiti si ajabu akaweza kuelezea tukio hili kisayansi tu. Utasikia pengine ni tofauti kubwa za density za hayo maji. Au sababu zingine...na makalikyulesheni juu akaweka...Tukio hili lipo pia sehemu zingine duniani japo sikumbuki nilisoma wapi....Maajabu ya Mwenyezi Mungu ndani ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, mito miwili inapokutana na kuwa mto mmoja bila maji yake kuchanganyikana. Mto KASAI na mto MAYINDOMBE.View attachment 1142065
AFCON unaangalia?Nmeona Argentina na Chile wamepita bro,sema sikuweza kutizama live,nmechek marudio
Maajabu ya Mwenyezi Mungu ndani ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, mito miwili inapokutana na kuwa mto mmoja bila maji yake kuchanganyikana. Mto KASAI na mto MAYINDOMBE.View attachment 1142065
Baadhi ya mechi bro,hasa za mapema zile za saa tano sijawahi,mfano wiki yote hii sitaangalia mechi hata mojaAFCON unaangalia?