Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

65013751_830609763992410_7096144509449054309_n.jpg
 
Si unajua kwamba Mbappe anahusishwa na mpango wa kujiunga na Liverpool hasa baada ya hivi karibuni kudai kwamba kwenye Ligi Kuu England timu anayotaka kujiunga nayo ni wababe hao wa Anfield huku akimtaja Jurgen Klopp kuwa ni kocha bora duniani.
 
Katika picha hiyo, Sturridge, ambaye ataachana na Liverpool kwenye kipindi hiki cha majira ya kiangazi, aliandika maelezo haya: “Mwanasoka wa ukweli K Mbappe. Mama yake amesema amekuwa akiigiza staili yangu ya ushangiliaji, hivyo na mimi naiga staili yake.”
 
Posti hiyo iliwapagawisha mastaa na mashabiki wa Liverpool wakiamini kwamba hiyo ni dalili nzuri kwa supastaa huyo wa Ufaransa na Paris Saint-Germain kwamba huenda siku moja akaenda kujiunga nna wakali hao wa Anfield.
 
Nahodha Henderson alituma tu emoji ya picha nne za kushukuru. Wiki chache zilizopita, Mbappe ghafla tu aliibukia kuwa mchezaji anayetajwa kwamba huenda akaenda kujiunga na Liverpool, huku rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi akiionekana kulizima jambo hilo baada ya kusema: “Mbappe atabaki PSG mwakani? Sina uhakika asilimia 100 bali nina uhakika asilimia 200.”
 
Back
Top Bottom