D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Yes Bak upogo? mzima?Frag?
Yes Bak upogo? mzima?
Si hamtaki mawigi na kope za bandia sijui..
Daaah.. Huyo mweupee namna hiyo sio mimi..Nipo aisee namshukuru Mwenyezi Mungu. Mzima weye? Eti huyo cheupe dawa ni weye?
😜😜😜
Si hamtaki mawigi na kope za bandia sijui..
Mbona ndio mnaowaposti?
Daaah.. Huyo mweupee namna hiyo sio mimi..
Kila mtu humu ananifananisha na wa kwake Loh!
Sasa haka katoto umekatoa wapi BAK...
Halafu sio type yako ujue!😀
😁Unazijua mwenyewe toka jana unazipost..Lazima basketballs ziwe involved..Hahahahaha lol! Hivi kuna type? Mie sijui hilooo. Kimwana akinivutia tu halafu mstaarabu basi. Please be more specific siyo type yangu kisha unipe type yangu inastahili kuwa vipi.
😁Unazijua mwenyewe toka jana unazipost..Lazima basketballs ziwe involved..
Pole na kuchefukwa kuleee.. this too shall pass...
Naona mnazidi kuimarisha kikosi bro. hongereniTunaendelea na usajiri baado
😁Unazijua mwenyewe toka jana unazipost..Lazima basketballs ziwe involved..
Pole na kuchefukwa kuleee.. this too shall pass...