Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Weekend Safi namna hiiWeekend inaendaje? Nitamani niwe kwako hapo leo mpendwa
Weekend Safi namna hiiWeekend inaendaje? Nitamani niwe kwako hapo leo mpendwa
Dah hii fashion ya gauni nzuri mno.
Weekend Safi namna hii View attachment 1142496karibu tule.
Ana mwili kama wako,Dah hii fashion ya gauni nzuri mno.
Vibua na hilo bamia hapo pembeni ugali huo unashuka vizuri sana. Mlo safi [emoji122][emoji122][emoji122]Weekend Safi namna hii View attachment 1142496karibu tule.
Aisee huku Dengua huku tezi kufikisha miaka 40 na zaidi kwa Dunia ya sasa ni bahati.ni uhuni wa manesi uchwara, si anajua mgonjwa hawezi kupishana na kauli yake.
Hizo ndio Mboga za ugali sio maharage,hapo nakula hata kilo moja 😃😃😃😃Vibua na hilo bamia hapo pembeni ugali huo unashuka vizuri sana. Mlo safi [emoji122][emoji122][emoji122]
shimba nipo kwenye utaniNurses hawana huo utaalamu. Kipimo hicho kinapaswa kufanywa na MD tena kama kihakikisho tu baada ya vipimo vya awali kuonyesha ongezeko lisilo salama la protini korofi katika damu...
Mmh si kweli mimi mbilikimoAna mwili kama wako,
Nakuona mzee baba unajipoza machungu ya mh.Lissu na warembo
Kumbe?? Sawa Mkuu HawachiMmmh si
Mmh si kweli mimi mbilikimo
Nakuona mzee baba ujipoza machungu ya mh Lissu na warembo