Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sijambo mpendwaAlaykum Salaam Hawachi, hujambo mpendwa wangu?
mkuu nurses wengine wanapitisha mpaka kidole eti wanapima tezi dume na jike
Weekend inaendaje? Nitamani niwe kwako hapo leo mpendwaSijambo mpendwa
Tezi jike huu ugonjwa mpya au?mkuu nurses wengine wanapitisha mpaka kidole eti wanapima tezi dume na jike
Nurses hawana huo utaalamu. Kipimo hicho kinapaswa kufanywa na MD tena kama kihakikisho tu baada ya vipimo vya awali kuonyesha ongezeko lisilo salama la protini korofi katika damu...mkuu nurses wengine wanapitisha mpaka kidole eti wanapima tezi dume na jike
ni uhuni wa manesi uchwara, si anajua mgonjwa hawezi kupishana na kauli yake.Tezi jike huu ugonjwa mpya au?