Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2019-06-30 going back home - Google Search.png
 
Mie Twitter nimejiunga hivi karibuni miezi mitatu au minne iliyopita. Nilishangaa sana kukuta mashambulizi ya hali ya juu kule kuhusu maovu mbali mbali yanayoshamiri nchini. Halafu nikashangaa pia kuona baadhi ya waandishi wa habari wa nchi za nje ambao wengi wanafuatilia issue ya Lissu na uminywaji wa haki na uhuru wa raia na NGO. Inatia moyo kwa kweli ila ni bahati mbaya Watanzania wengi bado hawana access kubwa na technology labda ingesaidia kuwafumbua macho wale ambao bado wanaimba ccm ni nambari. Siku tukiwa na mfumo wa uchaguzi ambao utahakikisha chama chochote kile kinaweza kushinda viti vingi bungeni na Urais na wakivurunda nao wanapigwa chini labda ndiyo tutaanza kuyaona maendeleo ya kweli. Sijui hilo litatokea lini maana miaka 60 sasa bado ni maccm tu, labda tu subiri miaka 60 mingine 😏😏😏

Jf imepoa sana.. ngoja nirudi kwenye marathon zangu za Series... na Twitter
 
Back
Top Bottom