Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani we acha tu Mkuu ile White House ingewaka moto. Ndiyo utaona undumilakuwili wa hawa Republicans.

Imagine Obama au kiongozi mwingine ye yote (wakiwemo wachovu wetu huku Afrika) angejaribu kufanya huu upuuzi wa kuweka wanafamilia tena wasio na uzoefu wo wote katika nyadhifa kubwa kubwa kama hizi serikalini. Moto ambao ungewaka hapo sipati picha. Leo hii mkwilima Myahudi (Kutchner) ndiye anaongoza diplomasia ya Marekani kati ya Wayahudi na Wapalestina na Mashariki ya Kati nzima. Ajabu sana !!!
 
FB_IMG_1561913084250.jpeg
 
Back
Top Bottom