Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haka kadada watu wamemdungua sana, basi tu, angekuwa yupo bongo hata mimi mlalahoi ningebahatisha, na asithubutu kukanyaga bongo, nitamwendea kwa babu bagamoyo mpaka nami nimpate [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama sikosei haka kajamaa kalibahatisha kakamuoa JLO kwa muda. Ndoa ilipobumburuka kakaomba kawe kanalipwa alimony. Sijui kaliishia wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haka kadada watu wamemdungua sana, basi tu, angekuwa yupo bongo hata mimi mlalahoi ningebahatisha, na asithubutu kukanyaga bongo, nitamwendea kwa babu bagamoyo mpaka nami nimpate [emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 49 sasa kamanda. Jioni imeanza kuingia japo ng'ombe hazeekagi maini...[emoji2221][emoji2221]!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…