Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunakaribia mwaka wa 4 wa uraisi wa Magufuli. Jiulizeni kutokua na SIASA, kutokua na Bungelive, kufungwa na kupigwa risasi wanasiasa mbadala, kutekwa na kupotezwa watu, imesaidia maisha yako vipi? Ninahakika imekuletea GIZA la kuishi kwenye UOGA na HOFU tu nchini kwako.

#Shangazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…