Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Ahadi ni deni asante mno 😊😊Usijali juu ya hilo mualiko umepata hivyo usikubali mwaliko mwingine... InShaALah!
Ahadi ni deni asante mno 😊😊Usijali juu ya hilo mualiko umepata hivyo usikubali mwaliko mwingine... InShaALah!
Hahahaha mkuu full shangwe kwa kweli[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23]
Kabisa kama Kane naye bado sanaNadhani hajapona vema
Hizi hongera zangu Mbona hamzipokei au zimekaa kinafki sana? 😁😁Morning mkuu
YNWA
10:2710:20
Duh!!
Weekend inayoyomaJumapili imeshika kasi
Season hii City sindio bingwa mkuuNaona season hii tutabeba
Karibu dadaake makao makuu hapa ya nchi sikukuu nitandaa mbuzi wawili moja kwa ajili ya ndugu zangu wanaomaliza mfungo ingine for Liverpool fans tumekuwa na mwisho bora kabisaKaka zangu humu wachoyo mno hata karibu sikuukuu hamna jamaniii
Amun RaAmani itawale siku yetu
Ho chi Minh popote ulipo Liverpool ndio mabingwa wa ulaya 2019 msalimie Kichwa Kichafu
Nikweli, vipi kichwa kimepona kabisa?Ahadi ni deni asante mno 😊😊
Hahahaha atachagua pa kwenda usimpangieUsijali juu ya hilo mualiko umepata hivyo usikubali mwaliko mwingine... InShaALah!
Ubingwa Raha sana
Asante sana mkuuKaribu dadaake makao makuu hapa ya nchi sikukuu nitandaa mbuzi wawili moja kwa ajili ya ndugu zangu wanaomaliza mfungo ingine for Liverpool fans tumekuwa na mwisho bora kabisa
😂😂😂Hahahaha atachagua pa kwenda usimpangie
Nzuri mkuu
Jumapili njema kabisa tukiamka tukiwa mabingwa wa Europe safi sana Liverpool