mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Asante tangu Jana tumezipokea mkuuHizi hongera zangu Mbona hamzipokei au zimekaa kinafki sana? [emoji16][emoji16]
Morning chief
Asante tangu Jana tumezipokea mkuuHizi hongera zangu Mbona hamzipokei au zimekaa kinafki sana? [emoji16][emoji16]
Morning chief
Inayoanza mkuu 2019-2020Season hii City sindio bingwa mkuu
Hapana leo kinauma kwa mbali Sana tofauti na Jana,Asante kwa kujali.Nikweli, vipi kichwa kimepona kabisa?
Yaani nawatafuta kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Wako mitaa gani watu hawa
Asalam alaykum mpendwa
Tuomba uzima na afyaInayoanza mkuu 2019-2020
Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Wako mitaa gani watu hawa
10:3410:32
Alhamdulillah mkuuWalyekum salaam, mzima
Kaka zangu humu wachoyo mno hata karibu sikuukuu hamna jamaniii
Maombi yake yamesaidia tumechukua Ndoo UCLWapi Isis
Tupo pamoja.. usijaliHapana leo kinauma kwa mbali Sana tofauti na Jana,Asante kwa kujali.
HahahahaTukiwa na furaha tele..[emoji41][emoji41]
Ndio hivyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Maombi yake yamesaidia tumechukua Ndoo UCLView attachment 1114949
Nimekubali Bro jamaa mayai sana! Muoga wa ngumi !!!Bondia mzuri?
Bondia mzuri hupimwa jinsi anavyoface adversity. The guy is soft and has no heart. Pambano la mikanda yako mitatu unasema kirahisi tu eti I am done. Akina Tyson, Hollyfield, Lewis, Foreman, Frazier, Ali na mabingwa wa ukweli unafikiri wangeachia mikanda yao kwa kauli tu eti I am done?
Watakuwa wamemjua udhaifu wake na kuanzia sasa itakuwa ni kujibondea tu. Ni ulimwengu wa Wilder sasa japo naye ana mapambano makali sana ( King Kong Ruiz na Tyson Fury)...
Waswahili wanamsemo wao "Chelewa Chelewa unakuta mwana si wako".Sikukuu bado, subiri utaalikwa tu
NamkubaliOrigi one more contract anastahili kwa kweli barca na messi wao watamkumbuka sana