Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bondia mzuri?Pole yake lakini ni bondia mzuri sana
Bondia mzuri hupimwa jinsi anavyoface adversity. The guy is soft and has no heart. Pambano la mikanda yako mitatu unasema kirahisi tu eti I am done. Akina Tyson, Hollyfield, Lewis, Foreman, Frazier, Ali na mabingwa wa ukweli unafikiri wangeachia mikanda yao kwa kauli tu eti I am done?
Watakuwa wamemjua udhaifu wake na kuanzia sasa itakuwa ni kujibondea tu. Ni ulimwengu wa Wilder sasa japo naye ana mapambano makali sana ( King Kong Ruiz na Tyson Fury)...