Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Trent Alexander-Arnold celebrates Liverpool’s victory.
Best RB kwa sasa EPL
 
However there is no World Club Cup for Liverpool to play in this year, after Fifa made it a four-yearly event, with the next one in 2021. It had been played annually from 2005 until last year.
Na Liverpool walishatoa msimamo kuwa wasingeshiriki michuano hiyo kama wakiwa mabingwa wa ulay kutokana na FIFA kuongeza vilabu kwenye mashindano hayo kuwa 24 mechi zitakuwa nyingi bila sababu mfumo wa sasa bado ni mzuri wa mtoano
 
Muda utaongea kupigwa ni sehemu ya mchezo mabondia wazuri wote walishakutana na vipigo
Bondia mzuri?

Bondia mzuri hupimwa jinsi anavyoface adversity. The guy is soft and has no heart. Pambano la mikanda yako mitatu unasema kirahisi tu eti I am done. Akina Tyson, Hollyfield, Lewis, Foreman, Frazier, Ali na mabingwa wa ukweli unafikiri wangeachia mikanda yao kwa kauli tu eti I am done?

Watakuwa wamemjua udhaifu wake na kuanzia sasa itakuwa ni kujibondea tu. Ni ulimwengu wa Wilder sasa japo naye ana mapambano makali sana ( King Kong Ruiz na Tyson Fury)...
 
Back
Top Bottom