mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hakika wewe ni gunners damuHapana aisee mie najulikana rasmi humu kama chama yangu ni Arsenal in good times and bad times.
Hakika wewe ni gunners damuHapana aisee mie najulikana rasmi humu kama chama yangu ni Arsenal in good times and bad times.
Huyu goalkeeper kwa kweli tumepata
Na huyu beki hakika ni kisiki
African prince bado yupo yupo sana Liverpool Madrid watasubili
Huyu anatakiwa arudi Sunderland
Kocha bora kabisa hila aondoe ubishi wa kijerumani atatoboa sana
Itabidi tumpe mkataba mwingine huyu mkenya
Egyptian king bado tunae sana
Hakutakiwa kucheza hii final bado hajawa fit kutoka kwenye majeruhi the same Bobby Firmino