Hahahaha aisee huu sio utetezi ujue Messi huko alipo keshavunja TV ..asilimia kubwa ya mashabiki wa barca hawakuuombea huu ushindi
Hongereni sana Liverpool!!
😀😀 Aisee hongera sana ulichagua upande sahihi, naimani jina lako linasadifu kilichopo moyoni kwako kwa sasa...Mambo safi kabisa, deni langu[emoji23]
Haha, Nashukuru sana! [emoji38][emoji38][emoji3][emoji3] Aisee hongera sana ulichagua upande sahihi, naimani jina lako linasadifu kilichopo moyoni kwako kwa sasa...
[emoji114][emoji9][emoji114]
Nimeshangaa kukuona muda huu au ndio bado unashangilia mafanikio ya VAR?Haha, Nashukuru sana! [emoji38][emoji38]
Wala hata sjauona mpira!Nimeshangaa kukuona muda huu au ndio bado unashangilia mafanikio ya VAR?
Sawa sisi tupo tupo sana 😁Wala hata sjauona mpira!
Nimekuja kuwasalimu tu team Popo.
Hahahahahaha, team hama hama bro
Ngoja niwaache,
Goodnight guys
Gracias BAK[emoji7]Night night sleep tight and sweet dreams TH