[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Haka ka anord ka hendisome
Wanaweza zinduka kipind cha pili
Ata sasa hv naona wameanza kuzinduka
Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 27, anasema alikaribia kujiunga na Man United baada ya kuzungumza na mkufunzi Louis van Gaal, kabla ya simu ya Jurgen klopp kubadili mafikra yake.. (Mirror)
Huyu mpuuzi anapaisha eti
Liver wanapumuliwa
Pia ipo inayosema Tot anafanyiwa hivyo bro 😁Hahaha, post zako zimejaa ucheshi bro
Mbaya zaidi nikwamba Liver wameshapaki basi
Game halina mvuto kama ndondo cup tu lazima usinzie
Huyu Delle hicho kishuti anampigia mtoto?
Hahah burudika tu broBro post zako zinanipa burudani sana