moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahaha, pole bro
Ndio hivyo tusubiri kulike mapicha picha tu week nzima kutoka kwa Moud
Ndio hivyo tusubiri kulike mapicha picha tu week nzima kutoka kwa Moud
Final nyepesi sana tulishachukua kombe kwa kumpiga barca 4 -0 ilikuwa came back ya hatari kuwahi kutokea all and all sisi ndio mabingwa wa ulaya pep atasubiri sana na city yake
Final nyepesi sana tulishachukua kombe kwa kumpiga barca 4 -0 ilikuwa came back ya hatari kuwahi kutokea all and all sisi ndio mabingwa wa ulaya pep atasubiri sana na city yake
Hahahaha acha wivu bhana
Kabisaa huko alipo anazikusanya za kutosha hahaha
Wanavyonyanyua kombo comedi tupu hahahaa
Nakumbuka ile fainali Ronaldo kakosa penalty analia machozi baade nae Jonh terry anateleza
Mtu unaangalia final hujui Bingwa nani sio Final kama Bongo movie bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah unaweza kulala kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kweli liver mlimiss kikombe aisee, loool!
vibe kama New year vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilitakiwa viatu vitembezwe balaa sio gemu nzima kadi hamna
Mane nakabendera kake. Mwee mwee mwee mweee spurs wangeshinda tungewakoma wakenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kautinyo huko alipo ana hali gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana kamanda....[emoji122][emoji122][emoji122]
Hapana aisee mie najulikana rasmi humu kama chama yangu ni Arsenal in good times and bad times.