Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo talent yako hiyo?Kukaa ndani siku nzima kama hakuna mtu[emoji41]
[emoji818][emoji818]
Njema Kabisa Kiongozi Harakati Zinakwenda?
Anaweza kujigaragaza chini mpaka ikatoka au ataacha tu mpaka gravity ifanye kazi yake. Hopefully keshajitunza kukaa mbali na nungu nungu...Haha, mimi nawaza tu nani atamtoa hiyo mishale.!
Eeh, hiyo ni mojawapo!Ndiyo talent yako hiyo?
Halafu ule mjadala wetu wa pea za twins uliishaje? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ooh sawa sawa!Anaweza kujigaragaza chini mpaka ikatoka au ataacha tu mpaka gravity ifanye kazi yake. Hopefully keshajitunza kukaa mbali na nungu nungu...