Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6becc918-49a6-4ce9-9576-ead04af31bcd.jpeg
 
Watanzania walio wengi hawayaoni hayo. Huyo nduli na dikteta ni JANGA KUBWA la Taifa na ni mtu HATARI sana kwa amani na mshikamano wa Watanzania.

Tunakaribia mwaka wa 4 wa uraisi wa Magufuli. Jiulizeni kutokua na SIASA, kutokua na Bungelive, kufungwa na kupigwa risasi wanasiasa mbadala, kutekwa na kupotezwa watu, imesaidia maisha yako vipi? Ninahakika imekuletea GIZA la kuishi kwenye UOGA na HOFU tu nchini kwako.

#Shangazi
 
Back
Top Bottom