Up there? or Up their? maana hiyo ya pili inabidi umalizie ...
Ok BAK..Up their means at the top of hierarchy.
![]()
Mzamiaji wa ndege afariki na mwili kudondoka kabla ya ndege kutua
London. Mwili wa mtu anayedhaniwa alizamia kisiri kwenye ndege ya Kenya Airways umeanguka wakati ndege hiyo ikielekea kutua katika Uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London. Mwili huo wa mwanamume ulianguka katika bustani ya Clapham juzi Jumapili Juni 30, gazeti la Daily Nation limeripoti...www.jamiiforums.com
Ok BAK..
Mzima lakini?
Hatarii..Some things we take for granted..Others die for it..![]()
Mzamiaji wa ndege afariki na mwili kudondoka kabla ya ndege kutua
London. Mwili wa mtu anayedhaniwa alizamia kisiri kwenye ndege ya Kenya Airways umeanguka wakati ndege hiyo ikielekea kutua katika Uwanja wa ndege wa Heathrow jijini London. Mwili huo wa mwanamume ulianguka katika bustani ya Clapham juzi Jumapili Juni 30, gazeti la Daily Nation limeripoti...www.jamiiforums.com
[emoji120][emoji120]Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi [emoji1431][emoji1431]
Kabisa mamiiHatarii..Some things we take for granted..Others die for it..
We should thank God for everything..
May He rest in peace
Kg hii rangi uvae kama Coco anaipenda.. Vinginevyo...
Dah..😀 Mamiii eehKabisa mamii
Hatarii..Some things we take for granted..Others die for it..
We should thank God for everything..
May He rest in peace
Nashukuru tunapambana!Niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Vipi wewe uhali gani? Thanks 🙏🏽 for asking.
🙏🙏🙏Amen 🙏🏽 ndiyo sababu inabidi tumshukuru Mwenyezi Mungu kila siku kwa yote aliyotujalia na anayotujalia katika maisha yetu ya kila siku.
[emoji38][emoji38] [emoji85][emoji85]Dah..[emoji3] Mamiii eeh
[emoji3][emoji3] nimekupata Fraggy. Hii rangi inaweza isiwe rangi pendwa kwa Coco na VE. Kwa Coco itabidi nivae hiyo hapoKg hii rangi uvae kama Coco anaipenda.. Vinginevyo...
Nashukuru tunapambana!
💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙[emoji3][emoji3] nimekupata Fraggy. Hii rangi inaweza isiwe rangi pendwa kwa Coco na VE. Kwa Coco itabidi nivae hiyo hapo View attachment 1144888