Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Likes zimekuwa za shida hata watu wakiwepo. Zimeanza kuwa za mgao. Tatizo sijui nini...Kweli mkuu nipo humu zaidi ya masaa manne sioni likes
Watakuja tuMama Mlonge...
Numby....
Prisca....
Esta.....
Binti Mpole....
Rolo Modo...
Wewe ni injini ya uzi huu. Ukimaliza kilichokutinga pulizi rudi. I hope you are OK...
MariamuAnaza Biriyani....
View attachment 1146572
Pengine utakuja kuchangamka tena.Kweli mkuu nipo humu zaidi ya masaa manne sioni likes
Kweli mkuu lakini wakongwe tunarudi kuzungusha gurudumuLikes zimekuwa za shida hata watu wakiwepo. Zimeanza kuwa za mgao. Tatizo sijui nini...
YapPengine utakuja kuchangamka tena.
Mi siondoki mpaka tugonge comments milioni 1
Mama Mlonge...
Numby....
Prisca....
Esta.....
Binti Mpole....
Rolo Modo...
Wewe ni injini ya uzi huu. Ukimaliza kilichokutinga pulizi rudi. I hope you are OK...