Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

65300400_350936548903465_915983740360720052_n.jpg
 
Sema Jf tu panaboa siku hizi.....
Ukiingia kule ni vijana kusagia wanawake tyuuuu... mara weupe, mara wafupi, mara wembamba, mara wana hela, mara wana elimu... Hamna jipya!!
Wengine wabahili ndio mama weee akiombwa sh 2000 anaandika uzi
Penye wengi pana mengi. Hapa JF ni kuchakura chakura ili kupata unachokipenda.
 
Back
Top Bottom