Penye wengi pana mengi. Hapa JF ni kuchakura chakura ili kupata unachokipenda.Sema Jf tu panaboa siku hizi.....
Ukiingia kule ni vijana kusagia wanawake tyuuuu... mara weupe, mara wafupi, mara wembamba, mara wana hela, mara wana elimu... Hamna jipya!!
Wengine wabahili ndio mama weee akiombwa sh 2000 anaandika uzi