Hahahahaha hatari sanaSikukuu inanoga zaidi ukipata na ile kitu roho inapenda [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16]
View attachment 1146832
Kweli kabisa[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1146838
Hahahaha hatari sanaIf he dies he dies [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1146849
Mamboz FragariaWow..majestic
Kweli likes sioni napita huku nyuma naona post zingine hata likes hazina hatari sanaToa like upewe like[emoji16]..
We mwenyewe mvivu siku hizi
Bata muhimuWhatsApp, IG, Messenger na FB zinagoma kumbe bosi yupo viwanja anajirusha.
View attachment 1146858
Mkuu mkuu hahahahaHuyu atakuwa anakusanya makala zamivu kuhusu kero za Muungano na harakati za kudai uhuru. Atarudi muda si mrefu...