Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1562309672968.jpeg
 
Huu ni mfano kuigwa. Kuna watu humu ukiisifia Kenya 🇰🇪 au Uhuru utasikia hamia Kenya au wengine walithubutu hata kushangilia pale ambapo Kenya ilishambuliwa na Al Shabab. Tuache roho mbaya ya kuwachukia majirani zetu bila ya kuwepo sababu za kufanya hivyo. Mimi nimekutana na Wakenya wengi sana na wananiheshimu sana nami nawaheshimu sana kiasi cha wengine kunitania mimi ni Mkenya mwenzao. Roho mbaya na chuki za kutisha bila ya kuwepo sababu ya kufanya hivyo haihusu kitu.

CC: MK254

 
Back
Top Bottom