Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukistaajabu ya Mussa autayaona ya Firauni,kama kawaida ya watu utofautiana kwa rangi,lugha,mila,desturi,tania na tamaduni basi ndivyo vivyo hivyo watu wametofautiana ktk kuchukulia uzito mambo mbalimbali ya kijamii ikiwemo sherehe na na misiba.
 
Huko ghana misiba imekuwa ni sehemu ya ajira muhimu sana kwa vijana baada ya ukosefu mkubwa wa ajira ktk nchi nyingi duniani,vijana hawa wamejiunga ktk kikundi cha watu wasiopungu 100 na kuunda kundi la kazi kwa ajili ya kuwafurahisha waliofiwa na ndugu zao hasa siku ya kuzika mwili wa ndugu zao.
 
Mchanga ni miongoni mwa biadhaa muhimu na adimu na inayohitajika sana ulimwenguni kwasasa,mchanga una kazi kubwa ya kutumika ktk ujenzi wa majengo mbalimbali duniani,kuna aina nyingi za mchanga kulingana na mahali unapopatikana ktk uso huu wa dunia.
 
Kuna mcanga unaopatikana ndani ya na pembezoni mwa mwambao wa bahari wenyewe uwa na kiwango kikubwa cha chumvi hivyo kuufanya kuwa sio bora zaidi ktk ujenzi,uko mchanga uanopatikana ktk mito,maziwa,jangwani .
 
Nchi kama za Singpore,Indonesia,Umoja wa falme za kiarabu na baadhi ya nchi ambazo zina uhaba wa ardhi wamejikuta wakihitaji badhaa hii kwa kiwango kikubwa kwa ajili ya kuongeza eneo la ardhi kwa ajili ya kujenga hoteli,viwanda,shule.
 
Uchimbaji huu umesababisha kuaharibu kwa mfumo wa maisha ya dunia ktk utafutaji wa chakula na uhai wao (Ecology or balance of nature) Ikolojia ni miongoni mwa njia kuu za maisha ya viumbe hai na mazingira ktk kutegemeana ili kuendeleza maisha.
 
Back
Top Bottom