Ukistaajabu ya Mussa autayaona ya Firauni,kama kawaida ya watu utofautiana kwa rangi,lugha,mila,desturi,tania na tamaduni basi ndivyo vivyo hivyo watu wametofautiana ktk kuchukulia uzito mambo mbalimbali ya kijamii ikiwemo sherehe na na misiba.
Huko ghana misiba imekuwa ni sehemu ya ajira muhimu sana kwa vijana baada ya ukosefu mkubwa wa ajira ktk nchi nyingi duniani,vijana hawa wamejiunga ktk kikundi cha watu wasiopungu 100 na kuunda kundi la kazi kwa ajili ya kuwafurahisha waliofiwa na ndugu zao hasa siku ya kuzika mwili wa ndugu zao.
Jamaa hawa wamekuwa wakifanya mbwembe za aina mbalimbali ktk umati wa watu ambao umekusanyika kabla ya mwili wa marehemu kusafirishwa au kuzikwa rasmi.
Mchanga ni miongoni mwa biadhaa muhimu na adimu na inayohitajika sana ulimwenguni kwasasa,mchanga una kazi kubwa ya kutumika ktk ujenzi wa majengo mbalimbali duniani,kuna aina nyingi za mchanga kulingana na mahali unapopatikana ktk uso huu wa dunia.
Kuna mcanga unaopatikana ndani ya na pembezoni mwa mwambao wa bahari wenyewe uwa na kiwango kikubwa cha chumvi hivyo kuufanya kuwa sio bora zaidi ktk ujenzi,uko mchanga uanopatikana ktk mito,maziwa,jangwani .
Nchi kama za Singpore,Indonesia,Umoja wa falme za kiarabu na baadhi ya nchi ambazo zina uhaba wa ardhi wamejikuta wakihitaji badhaa hii kwa kiwango kikubwa kwa ajili ya kuongeza eneo la ardhi kwa ajili ya kujenga hoteli,viwanda,shule.
Sehemu kubwa ya mwambao ya bahari imeharibiwa kwa kiasi kikubwa sana na kusababisha uharibifu wa kimazingira,mmomonyoko wa udongo,maisha ya viumbe hai wanoishi ktk maji,kuharibika kwa maeneo ya kilimo.
Wataalam wa mambo ya sayansi ya maisha ya dunia wametaja kuwa uchimbaji wa mchanga unaondelea kwa kasi umeleta madhara makubwa kwa dunia na viumbe wake waishio,
Uchimbaji huu umesababisha kuaharibu kwa mfumo wa maisha ya dunia ktk utafutaji wa chakula na uhai wao (Ecology or balance of nature) Ikolojia ni miongoni mwa njia kuu za maisha ya viumbe hai na mazingira ktk kutegemeana ili kuendeleza maisha.
Kwa sasa baadhi ya nchi zimeachana nmatumiazi ya mchanga kama rasilimali ghafi ya ujenzi na kuelekeza machoyao ktk utumiaji wa Chuma na mbao (Steel,iron and Hard wood) ktk ujenzi wa majengo mbalimbali.