Akiweza tu kuturekebishia sheria ya madini that's will be a huge legacy. Hata ufisadi kusema kweli ameuzorotesha siyo wa wazi wazi tu kama wakati ule. Japo hakuna nchi iliyofanikiwa kuutokomeza kabisa kabisa tayari hii ni legacy kubwa tu...At least JPM anaweza acha kitu
Beautiful
[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji5] [emoji5]
toa likes upewe likesMbezi beach
Jembekillo umeleta madawa ya kulevya kwa style nyingine.haaaaa haaaa haaaa new stadium in town
Huu uzi haunatofauti na bettingUzi sumu sana huu.
Maana kuna kipindi nilipotea kwa siku mbili ila nilikuwa kama mtumia madawa kwa kuangaika kutokuwepo ila majukumu yakibana unapotea tu
Show respectGreetings
Hapo baadae kidooogo nataka niende nikampatie.Beautiful
sioni likes zakoYombo sigara kwa jimmy