Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
😍 Thank you..Enjoy to the maximum. 💕💕💕
You too enjoy yours!
😍 Thank you..Enjoy to the maximum. 💕💕💕
😂Beautiful umeniona wapi? BAK buana!
Mie hata ukinionyesha unyayo tu naweza kukwambia you’re beautiful or not 😎
Nina uwezo zaidi ya Stevie Wonder kwani yeye hutumia kupapasa.
🤣🤣🤣 Una instincts za hataree eeh?
Nimeikuta sehemu sijui kama kweli
Kwa hiyo wapo sahihiYes afadhali.. hapo ni kiwanda cha kufyatua wadudu.. Wadudu wanaota vizuri sana kwenye damu..
Ule mguu wenye tatoo ya tembo? 😁😁😁Uwezo wa muumba wetu, si unakumbuka uliweka picha ya mguu wako hapa nikakuuliza kuhusu Sanaa Lathan pia ukanijibu vizuri sana, wanasema the rest is history 😍😘
Hayo makopa kopa mhEnjoy to the maximum. [emoji177][emoji177][emoji177]
Beautiful umeshmuona live mkuu jokes[emoji1431][emoji1431][emoji1431] Thanks Beautiful Fragaria [emoji7][emoji8]
HahahahaMie hata ukinionyesha unyayo tu naweza kukwambia you’re beautiful or not [emoji41]
Nina uwezo zaidi ya Stevie Wonder kwani yeye hutumia kupapasa.
Yes.. Hapo wanakatia miaka na miaka bila kuosha .. Siku hizi mashine tu..Au flat surfaceKwa hiyo wapo sahihi
Yes.. Hapo wanakatia miaka na miaka bila kuosha .. Siku hizi mashine tu..Au flat surface
Yeah..huwa inatishaaa!Ile mashine mie huwa inanipa ukakasi sana kuangalia, huwa nahisi wataweka na kidole.
Yeah..huwa inatishaaa!
Wenyewe wamezoea lakini.. wako faster
😲 Doh! Hatari sana! Pole yakeNi kweli ila kuna babu mmoja nanunua sana nyama kwake. Nikagundua kidole baada ya gumba ni kama hakipo. Siku moja nikamtolea uvivu na kumuuliza kidole chake kilipatwa na masahibu gani. Ndiyo akaniambia siku moja wakati anakata nyama aliingia mteja akawa anaongea naye basi aliondoa macho sekunde chache kwenye ile mashine basi kidole kikafyekwa. Huwa siangalii kabisa.
OOUCH!!!