Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uwezo wa muumba wetu, si unakumbuka uliweka picha ya mguu wako hapa nikakuuliza kuhusu Sanaa Lathan pia ukanijibu vizuri sana, wanasema the rest is history 😍😘
Ule mguu wenye tatoo ya tembo? 😁😁😁
Miguu asiyoipenda Buddha!
Nilikuwa namchokoza Budhha tu siku ile..
Sina tatoo jameni..
 
Ni kweli ila kuna babu mmoja nanunua sana nyama kwake. Nikagundua kidole baada ya gumba ni kama hakipo. Siku moja nikamtolea uvivu na kumuuliza kidole chake kilipatwa na masahibu gani. Ndiyo akaniambia siku moja wakati anakata nyama aliingia mteja akawa anaongea naye basi aliondoa macho sekunde chache kwenye ile mashine basi kidole kikafyekwa. Huwa siangalii kabisa.
OOUCH!!!

Yeah..huwa inatishaaa!
Wenyewe wamezoea lakini.. wako faster
 
😲 Doh! Hatari sana! Pole yake
Skills skills!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…