Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo mitandao na simu ziliendelea kuboreshwa na kuongezwa matumizi zaidi kadri siku zinavyosogea hadi sasa tuko ktk mifumo ya kisasa kama Android,window phone n.k,kwa upande wa mitandao hasa mtandao buibui (internet) ilitoka ktk 0G 1973,2G 1983,3G 1993 na mwaka 2012 kuingia ktk 4G.
 
,kwa mfano tuangalie wanyama na ndege wengi wao hufanya mambo haya ya kimapenzi kwa nyakati maalum tu ili kupata ujauzito au kutaga mayai na baada ya tendo hilo hakuna mwendelezo mwingine wa tendo hilo mpaka pale watakapopata viumbe wenzao. Tendo hilo halitorudiwa tena hadi pale muda kama huo utakapofika tena.
 
Na matendo haya uendelea kufanyika hata baada ya ya kupata ujauzito na pia kila mmoja wao uwa na mtu wake maalum wa kutenda nayo hayo mambo na haya yako tofauti na kwa wanyama ambao wao hawana utaratibu wa kuwa na mmoja maalumu wala cha huyu mama,dada au shangazi wao hata mama anaweza kujaniiana nae.
 
1.Ni vyema kuoa au kuolewa na mtu ambaye manashabiana au kufanana ktk mitazamo ya kidini(kiimani),kimila,desturi.
Kwani hii ni miongonuinmwa nguzo muhimu ktk maisha ya kimahusiano.wengi hujikuta ktk matatizo makubwa mbele ya maisha ya ndoa,kwani mara ya kwanza alivutiwa na mtu na hivyo hakufuata miiko hiyo ya msingi. kumbuka ndoa sio mahala pa maigizo au pa kupita tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…