Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10.Wanandoa hawatakiwi kuishi kwa kuiga kila wanaloliona kwa watu wengine,ni muhimu san kuwa makini na kuishi kwa jinsi mlivyo nyinyi,kwani maisha ya ulimwenguni yako tofauti sana,kuiga ua kupokea kila ushauri ktk mahusiano yako na kataka kuyafuata hayo ni hatari wakti mwingine.
 
17.Ni muhimu kuchunguzana utimamu wa akili(afya ya aikili) kabla ya kufunga ndoa kwani wako watu wengi wenye matatizo ya akili ila inakuwa ngumu kuwangundua kwa haraka mpaka utakapokaa nae karibu na kwa mda mrefu(watu hawa ni ngumu kuwagundua kwani wao wana uwezo wa kufanya kazi za zote za kawaida) ila utawagundua kwa matendo,maamuzi na maongezi yao).
 
Ikiwa kweli inafika mahali licha ya kuomba ushauri,mawazo bado kutakuwa na mvurugano au mwendelezo wa tabia chafu ndani ya mahusiano yenu basi ni muhimu nani bora zaidi kutengana au kuachana kwa amani ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kuja kutokea mbele ktk maisha yenu kama mauaji,kuambukizana magonjwa,kuharibu mustakabali wa maisha ya watoto.

ZINGATIA:Hakuna maisha ya ndoa au kimahusiano ya kimapenzi ambayo yanaweza kuwa mazuri au salama kwa 100% bila kupata misukosuko ndani yake toka kuanza kwake hadi mwisho wake. Kitu kinachokataliwa ni hali ya migogoro hiyo kufikia hatua ya kuwatengesha wanandoa hao ambapo tukio hilo ndilo linalokataliwa kwani linaweza kuleta madhara makubwa kwa jamii na hata kwa kizazi cha wanandoa hao. ndio maana ni muhimu sana kujifunza elimu ya kuishi na watu na jinsi ya kutatua migogoro hiyo ambayo mingi yake inaweza kutatuliwa bila kutenganisha ndoa hizo.

Wataalam wa mambo ya ndoa na mahusiano wanasema ndoa ya kwanza inakuwa nasilimia 40% ya kuvunjika wakati ya pili ina 60% na ile ya tatu uwa na 80% ktk kuharibika na kuvuniijka.
 
FB_IMG_1562448456308.jpeg
 
Back
Top Bottom