BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
ππππππππππππ
www.jamiiforums.com
Mkurugenzi wangu kumbe tupo naye humu JF! Threads na Comments zake ndo zimeniua kabisa
mimi na director wa kampuni flani kubwa hapa tz tulikuwa na kikao na wageni toka nje wa kampuni hii hii ninayofanya kazi ila toka nchi nyingine. kampuni yetu ina matawi nchi 95 Duniani. kwa AFrica Mash kimefanyika kikao kikubwa hapa Serena Hotel. tukiwa tunajadiliana mambo kadhaa mezani...