mimi na director wa kampuni flani kubwa hapa tz tulikuwa na kikao na wageni toka nje wa kampuni hii hii ninayofanya kazi ila toka nchi nyingine. kampuni yetu ina matawi nchi 95 Duniani. kwa AFrica Mash kimefanyika kikao kikubwa hapa Serena Hotel. tukiwa tunajadiliana mambo kadhaa mezani...