Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya wanasayansi hao kufanikiwa kufanikiwa kufika mwezini 1969 sasa wanasayansi hao wanafanya harakati za kufika ktk sayari ya Mars ambayo iko umbali wa kilomita milioni 54.6 kutoka dunia ni ambapo ni mbali sana kiasi cha kutumia Siku 300 kuifikia sayari hiyo ya ya nne ktk mtiririko wa sayari zote,kwani hadi sasa wamefanikiwa kutumia vyombo mbalimbali kufanya uchunguzi ktk sayari hiyo na bado hawajafanikiwa kutumia watu huko.
 
Kuna aina nyingi za Rocket zilizowahi kutengenezwa na NASA kama Saturn 1,1b,5,atlas v,delta 2,Falcon,Ares 1-5,pegasus,Taurus,Apollo13,Titan 2,Gemmin,Lunar na nyingine nyingi ambazo baadhi zilifanikiwa kufika walipotaka nyingine hazikufanikiwa kufanya hivyo na kulipuka au kupotea kabisa.
 
Rocket unaweza kufikia uzito paundi milioni 4.4 ikiwa tanki za mafuta galoni 1,359,000 za kimiminika cha oksijeni,226,000 za kimiminika cha Haidrojeni ambavyo hutumika kama mafuta ya kuikusukuma rocket nzima kwenda na kurudi anga za mbali.
 
Oksijeni inachukuliwa kwakuwa huko anga za mbali hakuna aina hiyo ya gesi,hivyo uchukuliwa kwa ajili ya matumizi ya mashine hiyo na kwa ajili ya matumizi ya watu walikuwepo ndani ya chombo hicho kwa mda wote watakakuwepo safarini anga za mbali hadi kurudi kwao duniani tena.
 
Injini ya rocket yenye nguvu ya 1000 HP inaweza kutumia Amoniumm perchlorate kama mafuta ambavyo huwa ktk hali ya kimiminika au yabisi,injini hii ukimbiza chombo kwa spidi ya kilomita elfu 42487 kwa saa moja.
 
Ukiacha rocket kutumika kwa ajili ya kufikia anga za mbali kwa ajili ya utafiti pia ubeba na kupeleka vyombo mbalimbali vya kisayansi na uchunguzi ikiwemo na satelaiti za ulinzi,mawasiliano na utafiti kama vile vya Hubble,International space station ISS.
 
Najua unajua! Kuwa usafiri wa ktk maji ndio unaobeba mizigo yenye uzito mkubwa kuliko wa reli,barabara na anga! Kuzama kwa meli kubwa ya abiria TITANIC 15/4/1912 ktk bahari ya Atlantic inayomilikiwa na uingereza kulifungua kurasa mpya ya maendeleo ya sekta hiyo ya usafiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…