Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meli hizi za abiria na mizigo sasa zipo zenye ukubwa wa mita hadi 400 sawa na urefu wa viwanja vinne 4 vya mpira wa miguu,kama Britannia,queen Mary one na two,quantum,Norwegian,divina,cma,cmg,Emma maersk,msc,intal Florida na oasis,ubeba mizigo na watu had I kufukia tani 227000 laki mbili na ishirini na saba,kama ni kontena hadi 15000 elfu,tanki za mafuta huchukua hadi tank 3000 kwa safari,
 
meli hizi ni nzuri sana na zina vitu karibu vyote vya msingi kwa matumizi ya binadamu yaan vyoo,jiko,vyumba vya kulala,migahawa,kumbi za miziki,viwanja vya michezo na mazoezi na utembea baharini kwa miezi kadhaa kupitia bandari kubwa ulimwenguni kama za uturuki,uingereza,new York,Rio de jeneiro,ufaransa na hata kwenda sehemu za kusini mwa dunia kama antaktika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…