Kwa mzunguko na ukubwa wa dunia nchi zilizopo upande wa mashariki ndio za kwanza kuona jua kabla ya zile zilizopo magharibi,kusini au kaskazini,hii ni kutokana na umbile la duara la dunia na mzunguko wake wa kujizungusha ktk mhimili wake kutoka upende wa magharibi kuelekea mashariki na kuzifanya nchi hizi zote za upende huo kuanza kuwa za kwanza kuliona jua kabla ya zile za magharibi.
Dunia kwa kawaida ina mizunguko miwili ambayo yote utoa matokeo taofauti,mzunguko wa kwanza nim ule wa dunia kulizunguka jua kutoka mashariki kuelekea magharibi(Revolution) Mzunguko huo uleta athari za kupatika Majira ya mwaka ktk vipindi vikuu vinne vilivyo gawanyika ktk miezi minne kwa kila kipindi kimoja yaani Kiangazi (Summer),Masika(Spring),Baridi(Winter),Kipupwe (Amtumn).Mzunguko huu ambao utumia siku 366 kukamilisha mwaka kamili yaani miezi 12
Mzunguko wa pili ni ule wa dunia kujizungusha yenyewe ktk mhimili wake ambao utumia saa 24 yaani siku moja kutoka upande wa magharibi kuelekea mashariki,aina hii ya mzunguko wa dunia ndio usababisha kupatikana kwa usiku na mchana kwa dunia yetu,kwa kulingana na umbile la dunia nchi zilizo pande ya mashariki ndio uwa za kwanza kuona jua au siku kabla ya zile za magharibi mwa dunia.
Kwa mtindo huu nchi na visiwa vya bahari ya pasifiki kama Kiribati,Tonga,Australia,Newzeland,Fiji,samoa,Kiritimati,Japan,Korea kusini ndio nchi za kwanza kabisa kuona na kushangilia sherehe hizi za mwaka mpya kabla ya nchi nyingine yeyote duniani.
Mfano nchi ya Tanzania ambayo iko upande wa mashariki mwa bara afrika inatofautiana kwa zaidi ya saa tisa (9) na nchi za Australia na Newzeland hivyo wakati nchi hizi zikishangilia mwaka mpya kwa majira ya kwao ambayo itakuwa saa sita usiku basi nchini Tanzania na Kenya itakuwa saa tisa mchana.
Na visiwa vya Samoa ya marekani na Baker island ndio sehemu za mwisho kabisa kuuona mwaka mpya ktk uso wa dunia,hii kwakuwa visiwa hivi upatikana magharibi zaidi mwa dunia kuliko sehemu nyingine yeyote ile.
Tambua kuwa duniani kuna kalenda nyingi za kuangalia mwaka mpya ikiwemo hii maarufu inayo fahamika zaidi yaani Gregorian calendar ambayo ilianza kuhesabiwa toka wakati wa uhai wa Yesu mwana wa Mariam aliyezaliwa ktk mji wa Bathelehem (Yerusalem) Mashariki ya kati. Kalenda hii sasa inatimiza miaka 2018 toka kuanza kuhesabiwa kwakwe.
Kwa mujibu huu sio kila sehemu au watu duniani usheherekea siku hii ya mwaka mpya huu tuliouzoea kwani jamii nyingi zina tamaduni na mila mbalimbali ambazo zina nyakati zao maalum ktk kusheherekea mwaka mpya wao.
Tumevaa saa za aina nyingi tukiwa shule za msingi hadi sasa japo kwa kutokana na matumizi makubwa ya simu za mikononi ambazo zinaonyesha saa pia zimesababisha kupungua kwa matumizi ya za mkononi na kufanya kuwa ni sehemu ya kuvalika kama urembo tu,saa za mshale hata zile za kumwekua kama CITEZEN,CASIO Ila saa hizi zionekanazo ktk picha ndio saa gharama zaidi duniani ambazo huundwa kwa madini ya aina mbalimbali kama silver,gold,diamond! ROLEX ni mingoni mwa saa hizo.
Wataalam wa mambo ya afya wanasema watu wengi upoteza uwezo wa macho yao kuona hasa kwa nchi zilizoendelea kwa sababu ya kukaa sana ndani na na kutumia vifaa vya umeme vyenye kutoa mwanga usio asili kwa mda mrefu.
Kwa mataifa ya marekani na ulaya watu wengi wanaumia kukaa sana ndani ya majengo kwa mda mrefu ktk maisha yao ya kila siku na kulazimu kutumia mwanga wa taa za vifaa kama simu,kompyuta ktk shughuli zao za kila siku,hivyo kufanya kutokuwepo nnje na kupigwa na mwanga wa jua ambao ni muhimu ktk kuongeza wa kuona kwa mtu.
Wataalam wanasema kuwa mwanga wa jua na wa asili unasaidia sana ktk kufanya macho ya mtu kuendelea kuona vyema,hivyo swala la mtu kukaa ndani kwa mda mwingi bila kukutana na mwanga wa asiliwa jua anaweza kupoteza uwezo wake wa kuona mapema kabisa akiwa bado mdogo sana.
Ugonjwa huu wa macho unajulikana kama (myopia) macho ya mtu huwa hayana uwezo wa kuona mbali zaidi ya vitu vya karibu tu,hii hutokana aina ya watu ambao wanatumia mda mwingi kukaa ndani na kutumia mwanga hafifu na si wa asili ambao ufikia mahali uharibu na kupunguza uwezo wa macho yao kuoa mbali tena. watu ambao wako ktk hatari ya kupatwa na ugonjwa huu ni baina ya umri wa miaka (12-50
Ugonjwa huu wa macho unajulikana kama (myopia) macho ya mtu huwa hayana uwezo wa kuona mbali zaidi ya vitu vya karibu tu,hii hutokana aina ya watu ambao wanatumia mda mwingi kukaa ndani na kutumia mwanga hafifu na si wa asili ambao ufikia mahali uharibu na kupunguza uwezo wa macho yao kuoa mbali tena. watu ambao wako ktk hatari ya kupatwa na ugonjwa huu ni baina ya umri wa miaka (12-50
Wataalam wanashauri kwa watu wajitahidi sana kutumia mwanga wa asili ambao unatokana na jua pia kupunguza matumizi ya vifaa vinavyotoa mwanga usio wa asili (artificial)kwa mda mrefu kama simu,kompyuta n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.