yes anajuwa. kila mwezi tunapanga bajeti then saving naweka kwenye akaunti yangu ya akiba. kuna ubaya wowote dunia ya sasa??
au wenzangu wake wakujuwa mnaogopa atakukaba au kukuua? akikuua si mshahara unaishia hapo?
nadhani kikubwa, kila senti iliyopo home lazima iwe inamaelekezo kuwa ipo kwa jukumu. kama mmepanga ujenzi, ada watoto, biashara, dharula....hapo utagunduwaunahela lakini siyo ya kugawa au kuchezea.
mawazo yangu