mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Maxence Melo, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, ahojiwa kwa tuhuma za kula njama za kutaka kumuua Cyprian Musiba
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anahojiwa na ofisi ya Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai ( DCI) Jijini Dar Es Salaam muda huu. Maxence anahojiwa muda mchache baada ya magazeti ya leo ya Tanzanite na Fahari Yetu kuandika kwamba Maxcence Melo kwa kushirikiana na Jeshi la...