gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji5]Hahaaa ndio jamani mbona watu wanadoubt my sex[emoji28] au ni hili jina
Jamani mimi ni msichana wa kike.
Ni mkristo asiyeeenda kanisani mara kwa mara.
Bado ninasoma chuo.Afya.
Napenda Music saaaaaaaaaaana.
Na nawapenda wote.
Na napenda likes zenu pia.