gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji5]Hahaaa ndio jamani mbona watu wanadoubt my sex[emoji28] au ni hili jina
Jamani mimi ni msichana wa kike.
Ni mkristo asiyeeenda kanisani mara kwa mara.
Bado ninasoma chuo.Afya.
Napenda Music saaaaaaaaaaana.
Na nawapenda wote.
Na napenda likes zenu pia.
HalleluyaaaaSimama katika bwana (andjul) ili upate kuishinda mibaba hiyo. Amen
Nimeona amechungulia na kupotea ila atakuwepo kibiti JembekilloIvi Jembekillo yukwapi
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]siti ya mbele ya kwangu!!Niko nyuma sieezi ona quotes, so soma like... kama umeuliza kitu ni nitakapoifikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiea bafuni jisugue jamani makwapa, hata ukiwa ni mtu husiyenuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]