Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Husaidia kuganda kwa damu.

Wakati mwingine unaweza kuona umejikata sehemu ndogo tu lakini damu inatoka kwa kiasi kikubwa na huchelewa kuacha. Hii ni dalili ya upungufu wa vitamin K ambayo husaidia kugadisha damu hasa wakati ukiwa umeumia. Kula spinach kwa wingi kutasaidia hali hii kupungua au kuacha kabisa.
 
Husaidia kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla

Spinachi ina kiwango kikubwa cha protini na ndio maana inashauriwa kuliwa kwa wingi ili kuimarisha afya. Protini ni moja ya vitu muhimu sana katika kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla. Mwili unapokosa protini huanza kudhoofika na kupoteza nguvu.
 
Inamaana hata notifications zangu huzioni kweli wahenga walikuwa sawa, akufukuzae hakwambii Toka [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…