Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Arusha: Kwanini vijana wengi ni wachafu sana ?
Kwenye pilika pilika zangu za hapa na pale nimejikuta nikidondokea jiji la Arusha. Jiji limechangamka sana ila sasa vijana wengi ni wachafu sana kuanzia nguo, miili yao , viatu na wananuk sana midomo yao (iliyopakwa rangi). Ni kwasababu ya baridi au ni hulka tu jamani? Halafu wana vimisemo...