Ngoja tujaribu kombe la dunia la Qatar 2022 you never know with the best player by your side
#Badomessiniborakulikoronaldo
Huyo keshakua mdebwedo mnapoteza hela zenu tu
Ulikuwa unapita kimyakimya sio?Inamaana hata notifications zangu huzioni kweli wahenga walikuwa sawa, akufukuzae hakwambii Toka [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
View attachment 1153402
Binti Mpole
Yann tuandikie mate wakati wino upo. Teyar psg imeshatoa go ahead kazi kwa barca kuchomoa kitita biashara imalizikeSi kweli hivi wewe kwa uwezo wako wa kutafuta habari imagine ungeweka sehemu za manguli watafutaji habari ungekuwa na uwezo kuzidi hapo
Anachokikosa kule hayupo na wanaojua mpira lazima awe anatapatapa akirudi kwa wajuzi anakuwa mara mbili ya uwezo aliokuwa nao kabla
#Geographyisadestination
Yann tuandikie mate wakati wino upo. Teyar psg imeshatoa go ahead kazi kwa barca kuchomoa kitita biashara imalizike
Sema pesa nyingi sana ndiyo tatizo
PSG wanafanya kumkomoa ashindwe kusajilika ili wabandike makalio yake benchi mpaka akome kuwadharau