Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Typical mwanaune wa Dar. Sasa kumkatia tiketi ndiyo guarantee ya kupewa namba? Utakuta hata hakuombwa...Ni sawa na hawa wanaosomesha mademu. Kumsomesha demu ndiyo guarantee ya kumuoa?
Jamaa alitenda wema akitegemea malipo. Hahah!

Hiyo issue ya kusomesha mrembo naonaga 90% ya wasomeshaji wakiishia kutoa shuhuda za maumivu tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Pole bro....

Eti huna vionjo kama akina fulani. Gangamara bro [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…