Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Battle kama hizi sio nzuri kwa Afya bro unaona kabisa unakuwa defeated, kugangamara haiwezekaniki hata kama unataka kugangamara
Wakati mwingine unategwa tu ili kupimwa level yako ya ungangari na uvumilivu...ukigivapu mapema unajikosesha. Put up a fight...even if it is just a little bit. It is good for your psychological wellbeing and manhood.
 
Jamaa alitenda wema akitegemea malipo. Hahah!

Hiyo issue ya kusomesha mrembo naonaga 90% ya wasomeshaji wakiishia kutoa shuhuda za maumivu tu
Ni kutowekana sawa kuanzia mwanzo; na kuwa na mategemeo kengeufu au yaliyoegemea zaidi upande mmoja. Mbona watu tulishasaidia kusomesha na mambo yalipobumburuka tukachukulia poa tu?
 
447806946_199372.jpeg
 
Wakati mwingine unategwa tu ili kupimwa level yako ya ungangari na uvumilivu...ukigivapu mapema unajikosesha. Put up a fight...even if it is just a little bit. It is good for your psychological wellbeing and manhood.

Kwenye battle ambazo kama hizi nimekuwa nikipoteza Tu kila wakati rekodi yangu ina LLLLLLLL not even a draw [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom