Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Pole bro....
Eti huna vionjo kama akina fulani. Gangamara bro [emoji123][emoji123][emoji123]
Bro ni Cr7 kabisa. Sema tu ni simba mwenda pole...[emoji16][emoji16]Upo kama Messi kule Argentina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati mwingine unategwa tu ili kupimwa level yako ya ungangari na uvumilivu...ukigivapu mapema unajikosesha. Put up a fight...even if it is just a little bit. It is good for your psychological wellbeing and manhood.Battle kama hizi sio nzuri kwa Afya bro unaona kabisa unakuwa defeated, kugangamara haiwezekaniki hata kama unataka kugangamara
Huh?Thoughts are things
Kijana mpole kwema? Mbona kama unakata tamaa mapema hivyo?Battle kama hizi sio nzuri kwa Afya bro unaona kabisa unakuwa defeated, kugangamara haiwezekaniki hata kama unataka kugangamara
Ni kutowekana sawa kuanzia mwanzo; na kuwa na mategemeo kengeufu au yaliyoegemea zaidi upande mmoja. Mbona watu tulishasaidia kusomesha na mambo yalipobumburuka tukachukulia poa tu?Jamaa alitenda wema akitegemea malipo. Hahah!
Hiyo issue ya kusomesha mrembo naonaga 90% ya wasomeshaji wakiishia kutoa shuhuda za maumivu tu
😁Who else talks to cockroaches before killing them [emoji23] like "unaenda wapi wewe"
Exactly...Najaribu kumtia moyo hapa lakini naona kama vile he is down for the count. Labda wewe sis atakusikiliza [emoji16][emoji16][emoji16]Kijana mpole kwema? Mbona kama unakata tamaa mapema hivyo?
Mbwembwe tu hizo Fraggy...Nachati naye tena vizuri tu na hata zaidi ya hapo...liwalo na liweHmmmmh?
Ni kutowekana sawa kuanzia mwanzo; na kuwa na mategemeo kengeufu au yaliyoegemea zaidi upande mmoja. Mbona watu tulishasaidia kusomesha na mambo yalipobumburuka tukachukulia poa tu?
Wakati mwingine unategwa tu ili kupimwa level yako ya ungangari na uvumilivu...ukigivapu mapema unajikosesha. Put up a fight...even if it is just a little bit. It is good for your psychological wellbeing and manhood.