Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

One point in a time itabidi niipate hii story itakuwa funzo sana kwa upande wangu Experience is the best Feature
Ila maumivu yapo nisikudanganye. Sema tu kama unapay attention utakuwa ushaziona dalili tangu mapema na kujiandaa accordingly...na kama umekomaa kidogo kisaikolojia, kiroho na kimalimwengu, na kama nia yako ilikuwa njema basi iachie Karma itafanya kazi yake. Mara nyingi watu wanaowafanyia wenzao hivyo huwa hawana furaha na amani huko waendako...na ukizubaa utakuja kushangaa unapasha viporo na hata kurudiwa tena kisa huko alikoenda amekuta mambo ndiyo siyo haijalishi kama kuna nguvu za kiuchumi kiasi gani...Dunia hii ni duara indeed wallahi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…