Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tunaishukuru sana serikali ya awamu ya 5 -10 kwa kutuwezesha kushuhudia fainali itakayowakutanisha ngozi mbili zenye kutofautiana rangi lakini zinafanana kitabia zikiwemo majivuno, uvivu na kupenda starehe.

tunaishukuru sana serikali ya awamu ya 5 - 10 kwa bidii zao walizozichukua tokea mwanzoni ili kuiwezesha timu yetu ya taifa ipangwe kwenye kundi litakalotowa bingwa wa mashindano, wale wanaosema sisi ni wabovu nawaomba washike adabu zao na kwa taarifa yao kwa kiwango tulichokionyesha kwenye mechi yetu dhidi ya algeria basi kama tungelipangwa kundi moja na tunisia au nigeria basi kwa kiwango tulichodhamiria kuwaonyesha siku hiyo wangelifahamu kwa nini simba mnyama aliyehamishiwa chato hana makalio makubwa.

senegal vs algeria
halafu mechi yenyewe inachezwa ijumaa
yalaaaaaaa ngozi moja ishapoteza pambano
napendekeza kipindi kimoja kichezwe ijumaa na chengine kichezwe jumapili.
balance diet ​
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1153872

Hahaa, There’s no a hero man to a woman. Big dudes like this goes downtown too? Unbelievable, ooh well; am just saying! MGUMU as always! [emoji16][emoji16][emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️[emoji1493]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…