Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mimi nilitamani sana kuwaona Algeria na Tunisia wakikutana unajua hawa Waarabu wanamichezo michafu sana😅 Nilitaka kuwaona Nigeria 🇳🇬 na Senegal 🇸🇳 kwenye fainali
Hahah! Nakuona tokaumalize paper una hasira sana mzee mwenzangu....Shukrani Bro,
Nipo lindo Bro,
Usiku mwema na kwako pia!
Ukipata mwanaume ana TAKO kubwa nae atasema anataka mwanamke mwenye akili nyingi Tako watatumia lake
Fresh kabisa mkuu, Kwema?Niaje niaje..
Ukipata mwanaume ana TAKO kubwa nae atasema anataka mwanamke mwenye akili nyingi Tako watatumia lake
Aisee!Halafu liwe linatetema hahah
😂😂😂😂Astaghafurahi! [emoji16][emoji16]
View attachment 1153894
Nani zaidi? [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au nimeeleweka vibaya? Ngoja nirudie kusoma maandishi yangu
Naona PSG wanafanya kukomoa tu maana hapo hawana maelewano mazuri na Barca hivyo wanawakazia, pia maelewano na mchezaji pia sio mazuri nae wanamkomoa. Sijui mwisho wa siku itakuaje tu bro?Usajili wa Neymar unaona kuna possibility kweli ?
Ujue sijawahi pata view zako katika hili embu nipe vote yako kama mwenyekiti wa WAGUMU